Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kipindi kinachohusisha mijadala na mahojiano kuhusu Akili Hisia yaani Emotional Intelligence. Sikiliza upate kufahamu umuhimu wake na namna unvyoweza kuijenga na kuitumia Emotional Intelligence kwenye... more
FAQs about Emotional Me Swahili:How many episodes does Emotional Me Swahili have?The podcast currently has 11 episodes available.
November 30, 2020Upweke na RemiWengi huitazama hisia ya Upweke kwa mtazamo hasi lakini episode hii itakufundisha namna ya kuitazama hisia kama fursa ya kutambua mahusiano sahihi kwako pamoja na mbinu ya kukabiliana na Upweke. Zaidi utajifunza kupitia maisha ya Education Specialist Remi ambaye alikabiliana na changamoto hii ya upweke....more59minPlay
November 30, 2020Furaha na JOL MasterEpisode hii itakuongoza kupitia mwanasaikolojia mzoefu, namna gani ya kuikaribisha furaha kwenye maisha yako hata wakati wa changamoto. Huku ukijifunza mengi kuihusu furaha kutoka kwenye stori ya maisha ya mchekeshaji nguli JOL Master. ...more58minPlay
October 22, 2020Safari ya Matumaini na Fredrick Bundala (Skywalker)Maisha ni Milima na Mabonde na episode hii itakufundisha mbinu za kurudisha Matumaini pale unapoyapoteza na faida za kuishi kwa Matumaini kama anavyothibitisha Muanzilishi na Mkurugenzi wa Simulizi na Sauti (SnS), bwana Fredrick Bundala a.k.a Skywalker....more59minPlay
October 22, 2020Jinsi ya Kukabiliana na StressFahamu zaidi kutoka kwa mwanasaikolojia mzoefu kuhusu stress na njia bora za kukabiliana nayo. Na kwa namna ya kipekee jinsi Stress ilivyogeuka kuwa Fursa na kubadilisha maisha Banker mzoefu, bwana Stephen Matinya....more59minPlay
October 08, 2020Fulfilment na Khadija MwanambokaKujihisi uko mahali sahihi ukifanya kitu sahihi kinachoendana na kusudi lako hapa duniani ni hisia iletayo Furaha timilifu na endelevu kwenye maisha. Sikiliza episode hii ujifunze mengi kuhusu Fulfilment na kwa kipekee kabisa jinsi ilivyoyagusa maisha ya Nguli wa Ubunifu wa Mitindo Tanzania, Khadija Mwanamboka....more59minPlay
October 08, 2020Ielewe zaidi HofuHofu ni sawa na alarm ya mwili kwenye maisha, ikitoa taarifa za hatari na kukumbusha yale yalio muhimu zaidi. Sikiliza episode hii ufahamu zaidi kutoka kwa Mwanasaikolojia mzoefu ni kwa namna gani Hofu huifanya kazi hiyo ya alarm pamoja na mengine muhimu kuhusu hisia ya Hofu....more29minPlay
September 27, 2020Emotional Intelligence kwenye Ajira/Biashara yakoSikiliza kufahamu namna Emotional Intelligence invyoweza kuwa Baraka kubwa kwenye Ajir ama Biashara yako kupitia faida zake. Pia utapata muongozo kutoka kwa Mwanasaikolojia mzoefu wa namna gani unaweza kuitumia Emotional Intelligence kwa tija kwenye Ajira au Biashara yako....more29minPlay
September 27, 2020Emotional Intelligence kwenye FamiliaFuatilia episode hii kujifunza kama mzazi unawezaje kuikaribisha Emotional Intelligence kwenye Familia yako na manufaa yake kwako na kwa familia ni yapi?...more29minPlay
September 12, 2020Emotional Intelligence kwenye MapenziFahamu namna ambavyo unaweza kuitumia Emotional Intelligence kutatua changamoto mbalimbali kwenye mahusiano yako ya kimapenzi....more29minPlay
September 12, 2020Emotional Check-in ni Nini?Fahamu mbinu ya kujifanyia tathmini kihisia ili kujua vyanzo na masuluhisho ya changamoto mbalimbali unazopitia kihisia. ...more29minPlay
FAQs about Emotional Me Swahili:How many episodes does Emotional Me Swahili have?The podcast currently has 11 episodes available.