Living Theology

FURAHA YA KWELI NA YA UONGO


Listen Later

Heri wenye njaa na kiu ya haki, maana watajazwa. *MATHAYO 5: 6*
Wanadamu Asili yao ni kutafuta kutulia. Wengi huita kutafuta furaha. Hali ya roho kutulia.
Pombe na anasa huwa kimbilio la wengi kutafuta furaha na kushughulikiya shida. Huingia Katika madawa ya kulevya na pilamu za anasa. wengi hujiacha na kuishi maisha ya kujilagai. Mwisho ni uharibifu wa kutotatua lolote. Kuna kiu na njaa ndani yetu, na ni vyema kuelewa.
Wakati Bwana wetu aliposema, “Heri wenye njaa na kiu ya haki; kwa maana watajazwa”
( *Mathayo 5: 6 ),* yeye hakusema kwamba watafurahi ambao wana njaa na kiu ya furaha. Baraka na furaha ni mambo ambayo yatatokana kwetu kutafuta haki na kuwa wenye haki. Baada ya kutafuta haki  matokeo ya mwisho ni kujazwa na hivyo kuwa wenye heri.  Tunapaswa kutafuta haki, na, baada ya kuipata, ndipo tutajikuta kuwa na furaha na kujazwa na baraka.
Kiburi ndio sababu kuu ya shida. Mafundisho kwamba chochote kile kinaweza kuwa sababu ya shida katika maisha sio mwanadamu mwenyewe, ni mafundisho na unabii wa uwongo. Ndani mwetu Kuna njaa na kiu cha haki. Katika kupata haki, mwanadamu anatulizwa na kupata furaha ya kweli.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Living TheologyBy Brendon Naicker

  • 3
  • 3
  • 3
  • 3
  • 3

3

1 ratings