Amedeus Live Podcast

Haki inakufanya Jasiri


Listen Later

Je, unajua kwamba wewe ni haki ya Mungu ndani ya Kristo Yesu. Hii ni Moja ya Kweli kubwa sana katika biblia na ufununo injili ya Bwana wetu Yesu Kristo. Jifunze leo namna haki inavyokufanya jasiri na shupavu mbele za Mungu, wanadamu na Dunia nzima.
Hii na rhapsodi ya Uhakika toleo la TeeVo, vijana rika la miaka 13 hadi 19, la Januari 12, 2024.
Hebu chunya hatua leo kuwajulisha maelfu ya Vijana kweli kuhusu wao ni akinani ndani ya Kristo.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael