
Sign up to save your podcasts
Or


Mazungumzo yanagusia kuwekeza na kuzalisha kwa vikundi. Tumegusia VICOBA, investement clubs na namna ya kuvirasmisha kwenye uwekezaji.
Je uwekezaji (masoko ya mitaji) ni muhimu kwa wafanya biashara
Tunazungumzia adhari za madeni, madeni mazuri na mabaya, faida za madeni, hasara za madenin namna ya kutumia madeni mazuri na namna ya kutoka kwenye madeni mabaya.
Tulizungumzia fursa kwenye kilimo, namna ya kutumia teknolojia hasa AI kupata faida kwenye ukulima.
Marafiki wawili wakizungumzia transitioning from chuo to the job market to starting a business.
Kipindi hiki kinaelezea kwa lugha rahisi mfumo wa masoko ya mitaji nchini Tanzania—jinsi yanavyofanya kazi, nani anayehusika, na kwa nini ni muhimu kwa mtu anayefikiria kuwekeza au kukuza fedha zake.
Katika session hii, tunaongelea basics za uwekezaji kwa lugha simple na relatable.
Uwekezaji ni nini hasa? Unaanza lini? Unahitaji hela nyingi? Na tofauti yake na saving ni ipi?
From the publisher's feed
Halisi Chats ni mazungumzo halisi kuhusu pesa, biashara, career na growth. Tunabreak down topics kama saving, investing na discipline kwa real-life examples ambazo zina make sense kwetu East Africa…