Kataa wasiwasi, kataa mashaka! Wasiwasi ni mshale wa moto, tumia ngao yako ya Imani kuuzima! Telekeza wasiwasi na wala usiruhusu ushike fikra au akili zako.
Ruhusu amani ya Kristo itawale akili Yako na moyo wako.
Hii ni Rhapsodi ya Uhakika toleo la Vijana maarufu kama TeeVo, umri kati miaka 13 hadi 19.
#TeeVo #rhapsodiyauhakika