Living Theology

HATUA YA KWANZA KATIKA UAMSHO


Listen Later

Bwana akanena na Musa, Haya, ondokeni, katokeni hapo, wewe na hao watu uliowaleta. . . kwa maana sitakwenda kati yenu; kwa sababu ninyi ni watu wenye shingo ngumu; nisiwaangamize ninyi katika njia. KUTOKA 33: 1, 3
kinachotuvutia sisi sana ni majibu ya Musa. Hii ni hatua ya kwanza katika uamsho. Unaona hali waliyokuwa ndani- dhambi yao, tangazo la Mungu iliyo hukumu ya Mungu juu yao.
Hawa watu ambao walikuwa wameasi na kumpa Mungu kisogo, ambao walikuwa wamekufuru jina Lake na waliokuwa wamemkosoa mtumishi Wake Musa, ambao walikuwa wamemfanya Haruni kutengeneza sanamu ndama na wao kumwabudu, na waliokuwa wamefanya dhambi
Hakuna tumaini la uamsho mbali na kutambua jinsi Mungu anavyotutazama. Ni kuamshwa katika hali hiyo. Ni ufahamu juu ya maana ya kile Mungu alisema: "Ataondoa Uwepo wake kutoka kwetu, na amefanya hivyo. Wingu limetoweka. Nguzo ya moto haionekani tena. Mungu alisema ataondosha, na Mungu ameondoa. ”
Tunapo bondeka mioyo zetu, hivyo ndivyo twaweza kuruhusu uamsho. Hii ndiyo ilikuwa hali ya Musa. Moyo huu watupasa sote kuwa nao Kanisani.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Living TheologyBy Brendon Naicker

  • 3
  • 3
  • 3
  • 3
  • 3

3

1 ratings