Reign's Podcast

HEKIMA TATU KUBWA ZA MATUMIZI YA MUDA


Listen Later

Muda ni nyenzo muhimu sana kwenye mafanikio ya mtu. Hata hivyo, si watu wote tunatambua umuhimu wa matumizi mazuri ya muda. kwenye episode hii tunaangalia HEKIMA KUBWA TATU ambazo watu mbalimbali huzitumia kupanga matumizi yao ya muda.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Reign's PodcastBy GODREIGNS