
Sign up to save your podcasts
Or


Muda ni nyenzo muhimu sana kwenye mafanikio ya mtu. Hata hivyo, si watu wote tunatambua umuhimu wa matumizi mazuri ya muda. kwenye episode hii tunaangalia HEKIMA KUBWA TATU ambazo watu mbalimbali huzitumia kupanga matumizi yao ya muda.
From the publisher's feed
MAFANIKIO NI DHANA AMBAYO KILA MTU ANAWEZA KUELEZA KWA NAMNA ANAVYOYATAFSIRI MAFANIKIO. HATA HIVYO, KATIKA MAFANIKO YEYOTE YALE, NAFASI YA MAARIFA NI KUBWA SANA. REIGNS PODCAST TUNAKUPA NAFASI…