Redio Rumuli Podcast

HISTORIA YA KANISA (04 April, 2019)


Listen Later

Kipindi hiki ni kipindi ambacho kwa msaada wa Roho Mtakatifu, kinalenga kukuletea vipindi mbalimbali ambavyo Kanisa lilipitia, tangu kuondoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo hapa duniani. Kupitia kipindi hiki, utaelewa na kufahamu, jinsi na namna watu mbalimbali walivyojitoa kikamilifu katika kuujenga mwili wa Kristo na kuifanya Injili yake isonge mbele wakati wengine wakijitahidi kuhakikisha wanazikwamisha juhudi hizo.

ni dhahiri kwamba ukiliona Kanisa leo, ujue kwamba kuna sehemu limetoka na kuna sehemu linaelekea, hivyo basi, fuatana nasi katika kufuatilia undani wa historia hii yenye kusisimua.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Redio Rumuli PodcastBy Rumuli Podcast