Redio Rumuli Podcast

HISTORIA YA KANISA (18 April, 2019)


Listen Later

Kipindi  hiki ni kipindi ambacho kwa msaada wa Roho Mtakatifu, kinalenga  kukuletea vipindi mbalimbali ambavyo Kanisa lilipitia, tangu kuondoka  kwa Bwana wetu Yesu Kristo hapa duniani. Kupitia kipindi hiki, utaelewa  na kufahamu, jinsi na namna watu mbalimbali walivyojitoa kikamilifu  katika kuujenga mwili wa Kristo na kuifanya Injili yake isonge mbele  wakati wengine wakijitahidi kuhakikisha wanazikwamisha juhudi hizo.

ni dhahiri kwamba ukiliona Kanisa leo, ujue kwamba kuna sehemu  limetoka na kuna sehemu linaelekea, hivyo basi, fuatana nasi katika  kufuatilia undani wa historia hii yenye kusisimua.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Redio Rumuli PodcastBy Rumuli Podcast