Sign up to save your podcasts
Or

Leo October 14 mwaka 2020 ni Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 nchini Uingereza alipokuwa anapatiwa matibabu.
Mwanahabari wetu Rajabu Mustapha Mrope ameandaa Makala Fupi iliyobeba Historia ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
By Pangani FMLeo October 14 mwaka 2020 ni Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 nchini Uingereza alipokuwa anapatiwa matibabu.
Mwanahabari wetu Rajabu Mustapha Mrope ameandaa Makala Fupi iliyobeba Historia ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.