
Sign up to save your podcasts
Or


Ijue nini maana ya usp na namna ya kuitengeneza ili uweze kua na message itakayo kutofautisha kati yako wewe na watu wengine mnao fanya biashara moja sokoni,ni muhimu sana hii kuifanya maana ndio itakayoweka utofauti kati ya kua biashara tu ya kawaida au kua biashara itakayofanikiwa.
By suleiman AyoubIjue nini maana ya usp na namna ya kuitengeneza ili uweze kua na message itakayo kutofautisha kati yako wewe na watu wengine mnao fanya biashara moja sokoni,ni muhimu sana hii kuifanya maana ndio itakayoweka utofauti kati ya kua biashara tu ya kawaida au kua biashara itakayofanikiwa.