Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Ijuekweli Na Binti Ngasala:How many episodes does Ijuekweli Na Binti Ngasala have?The podcast currently has 16 episodes available.
June 20, 2021Single mothers sio ulemavuKumekua na wimbi kubwa la single mothers wenye majeraha na lawama zimeelejezwa upande mmoja badala ya kutafuta namna ya kusaidia wote tumegeukia upende mmoja karibu kusikiliza episode hii...more11minPlay
April 04, 2020UnspokenJimmy anatuelezea namna gani alianza kujihusisha na vilevi na namna gani aliacha...more36minPlay
April 01, 2020UnspokenStory ya kaka jimmy kesho jioni atashare nasisi hadithi ya maisha yake...more1minPlay
March 29, 2020Sauti ya MunguKutoka katika story ya samson tunajifunza kuisikiliza zaidi sauti ya Mungu kuliko kalama zetu...more14minPlay
March 17, 2020Kuna hofu kubwa lakini kunamatumaini piaWakati huu niwakati mzuri zaidi wa kujitathimini kuliko kukataa tamaa hofu ikizidi huathiri mfumo wa ubongo...more10minPlay
March 15, 2020Mimba za utotoniNilipata nafasi ya kuzungumza na mama mmoja wa kimakonde tukazungumza maswala ya mimba za utoto...more8minPlay
March 15, 2020Mimba za utotoniMimba ni matokeo ya mchakato tu wa kutafuta ukweli,tupinga janga la mimba ikiwa ujapinga njia zinazosababisha mimba za utotoni ,NAKARIBISHA USHAURI NA MAWAZO MAPYA KARIBU USIKILIZE...more7minPlay
FAQs about Ijuekweli Na Binti Ngasala:How many episodes does Ijuekweli Na Binti Ngasala have?The podcast currently has 16 episodes available.