SIRI ZA BIBLIA

IMANI KATIKA MAOMBI NA KAZI YAKE


Listen Later

Bwana YESU atukuzwe ndugu zangu.

Karibu tujifunze Neno la MUNGU.
Uhusiano ni upendo unaozaa ushirikiano na mawasiliano kati ya pande mbili tofauti.
Kama tuna upendo kwa MUNGU inatupasa sana kushirikiana na MUNGU na kuwasiliana na MUNGU Mara kwa Mara.
Mawasiliano hayo ni maombi . Lakini maombi tu hayawezi kuzaa matunda kama sio maombi ya imani.
Kama kuna mambo matano(5) muhimu katika maombi yako basi ni hivi:
=Jina la YESU KRISTO(Yohana 14:14),
=Damu ya YESU KRISTO(Ufunuo 12:11),
= Neno la MUNGU la ufunuo wa ROHO MTAKATIFU(Zaburi 107:20),
=Nguvu za ROHO MTAKATIFU(Luka 1:35a)
=Na Kuomba kwa imani(Waebrania 11:6)
Kama imani ni kitu muhimu kiasi hicho, je imani ni nini?
Biblia inajibu ikisema ''Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.-Waebrania 11:1''
Imani ni kuwa na uhakika na mambo yajayo.
Imani katika maombi ni kuwa na uhakika na ulichokiomba kwa MUNGU kwamba utakipata.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

SIRI ZA BIBLIABy SIRI ZA BIBLIA


More shows like SIRI ZA BIBLIA

View all
TIMIZA MALENGO YAKO by Joel Arthur Nanauka

TIMIZA MALENGO YAKO

5 Listeners

Timiza Malengo by Joel Nanauka

Timiza Malengo

0 Listeners

Innocent Morris by Innocent Morris

Innocent Morris

0 Listeners