Innocent Morris
Download on the App Store

Innocent Morris episodes

  • MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA TABIA MBAYA - Innocent Morris

    Je, unajikuta ukirudia tabia ambazo hutaki kuzifanya? Je, umechoka kupambana na dhambi na mazoea yanayokurudisha nyuma kiroho?

    Katika maombi haya tutaomba pamoja, tukimwomba Mungu atupe nguvu za kuvunja minyororo ya tabia mbaya na kutembea katika uhuru aliotupatia kwa njia ya Yesu Kristo.

    Mungu akubariki unapoomba maombi haya. Usisahau ku-like na ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect 

    49 min
  • ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 3 - Innocent Morris

     Katika sehemu ya tatu ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi.

    Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi

     Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.

    Karibu sasa ujifunze somo hili.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect 

    50 min
  • ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 2 - Innocent Morris

     Katika sehemu ya pili ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi.

    Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi

    Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.

    Karibu sasa ujifunze somo hili.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect 

    23 min
  • ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 1 - Innocent Morris

     Katika sehemu ya kwanza ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi.

    Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi.

    Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.

    Karibu sasa ujifunze somo hili.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect 
    Facebook Page: Holy Spirit Connect 

    1 hr 10 min
  • JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 4 - Innocent Morris

     Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?

    Katika sehemu hii ya Tatu (Part 3) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!

    Na utajifunza zaidi nini kinasababisha moto wa maombi kuzimika. Pia utajifunza hatua za kwanza za kuuwasha tena moto uliozimika.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE video hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship 

    1 hr 9 min
  • JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 3 - Innocent Morris

     Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?

    Katika sehemu hii ya Tatu (Part 3) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!

    Na utajifunza zaidi nini kinasababisha moto wa maombi kuzimika. Pia utajifunza hatua za kwanza za kuuwasha tena moto uliozimika.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Usisahau  KUSHARE episode hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship 

    1 hr 7 min
  • JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 2 - Innocent Morris

     Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?

    Katika sehemu hii ya Pili (Part 2) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!

    Na utajifunza zaidi nini kinasababisha moto wa maombi kuzimika. Pia utajifunza hatua za kwanza za kuuwasha tena moto uliozimika.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Usisahau KUSHARE, na KULIKE episodi hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship 

    1 hr 32 min
  • JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 1 - Innocent Morris

    Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?

    Katika sehemu hii ya kwanza (Part 1) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!

    Na utajifunza zaidi nini kinasababisha moto wa maombi kuzimika. Pia utajifunza hatua za kwanza za kuuwasha tena moto uliozimika.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Usisahau KUSHARE, na KULIKE episodi hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship

    1 hr 2 min
  • JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU - Innocent Morris

     Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia damu ya Yesu kwa kina sana. Damu ya Yesu ni silaha hatari sana ambayo Mungu ametupatia, lakini ni lazima tujifunze namna ya kuitumia kwa imani katika maisha yetu ya kila siku.

    "Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa."
    Ufunuo wa Yohana 12:11

    Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.

    Karibu sasa ujifunze somo hili.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect 

    1 hr
  • THAMANI YA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ni ya thamani sana? - Innocent Morris

    Katika somo hili, utajifunza kuhusu thamani kuu ya Damu ya Yesu Kristo na kwa nini ilimwagika kwa ajili yetu. Biblia inatufundisha kwamba kupitia Damu ya Yesu tumepata msamaha wa dhambi, ukombozi, upatanisho na Mungu, na ushindi dhidi ya nguvu za giza.

    "Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake."
    Waefeso 1:7

    Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.

    Karibu sasa ujifunze somo hili.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect 

    1 hr 18 min

About Innocent Morris

From the publisher's feed

Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi