Hakuna wokovu kwa njia nyingine isipokuwa kupitia Yesu Kristo. Hakuna atayeurithi Ufalme wa Mbinguni isipokuwa amempokea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wake.
Kila kijana (teenager) anapaswa kusikia Habari hizi. Sambaza Ujumbe huu kwa kila kijana katika ulimwengu wako.