The Dugout

Its Called Soccer not Football.


Listen Later

World Cup raundi ya 16 bora. Team USA inaondolewa kwenye mashindano baada ya kipigo kutoka kwa uholanzi. Australia nao wanaaga mashindano baada ya kufungwa na Argentina huku Lionel Messi akionesha kiwango bora kabisa kwenye mechi hiyo. Moses Phiri gari limewaka na kuchanganya. Amfikia Mayele kwenye ufungaji bora wa NBCPL Chama anazidi kuonesha ubora wake kwenye kucreate nafasi na ku-assist.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

The DugoutBy Anthon Mtui