Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Dugout ni mahali makocha na benchi la ufundi wanakaa wakati mechi inaendelea. Hapa tutaangalia mawazo, maoni, mapendekezo ya kuhusu match husika. Tutaongelea vionjo, magoli, makosa mbali mbali katika ... more
FAQs about The Dugout:How many episodes does The Dugout have?The podcast currently has 3 episodes available.
December 04, 2022Its Called Soccer not Football.World Cup raundi ya 16 bora. Team USA inaondolewa kwenye mashindano baada ya kipigo kutoka kwa uholanzi. Australia nao wanaaga mashindano baada ya kufungwa na Argentina huku Lionel Messi akionesha kiwango bora kabisa kwenye mechi hiyo. Moses Phiri gari limewaka na kuchanganya. Amfikia Mayele kwenye ufungaji bora wa NBCPL Chama anazidi kuonesha ubora wake kwenye kucreate nafasi na ku-assist....more43minPlay
November 18, 2022Gameweek 12: Nani atamshusha Yanga pale juu.Mbeya City Vs Kagera Sugar, Yanga Vs Singida Bs. Nini kilichangia matokeo yaliopatikana, wapi makocha wapafanyie kazi, nini cha kukitilia mkazo....more32minPlay
FAQs about The Dugout:How many episodes does The Dugout have?The podcast currently has 3 episodes available.