
Sign up to save your podcasts
Or


Karibu kijiji cha Jbb. Nyumbani kwa baba na mama Halima. Baba Halima ana hasira kwa sababu mkewe hajui alipo mwana wao Halima. Baba Halima anamlaumu mkewe kwa kuzembea katika ulezi. Je uamuzi huu ni wa sawa?
By SFCGKENYAKaribu kijiji cha Jbb. Nyumbani kwa baba na mama Halima. Baba Halima ana hasira kwa sababu mkewe hajui alipo mwana wao Halima. Baba Halima anamlaumu mkewe kwa kuzembea katika ulezi. Je uamuzi huu ni wa sawa?