Share SFCG KENYA
Share to email
Share to Facebook
Share to X
Je ni vipi unavyo pambana na msongo wa mawazo? Khadija anawafunza wanakijiji jinsi ya kuepuka msongo wa mawazo.
Je unafahamu unyanyapaa ni nini? Khadija anawafunza wanakijiji kuhusu unyanyapaa
Baada ya kuwaita katika kikao ili kuwajuza kuhusu vijana walio na ushawishi mbaya, wanajamii wanaomba kufahamishwa kuhusu maendeleo ya jamii yao, Je bwana Chifu anawambia lipi?
Baada ya Khadija kupokea simu ya ghafla kutoka kwa chifu na kuhimizwa kuambatana na wanakijiji hadi afisi kwake, Je Chifu alikuwa na lipi la kuwaambia wanakijiji?
Je ni vipi wanafamilia wanaweza kusuluhisha mizozo nyumbani?
Baada ya Khadija kuwasidia wanakijiji kuhusu mitandao ya kijamii, Baba na Mama Nzomo wanakutana na tapeli mtandaoni.
Je teknolojia ni vipi inaweza kuifaidi jamii?
Baba Halima anazidi kumshawishi Chifu afanye marekebisho katika uongozi na pia kuanzisha mradi wa kuwasaidia vijana, Je atafauu katika hili?
Nyumbani kwa kina Nzomo, Baba Nzomo na Mama Nzomo wanaungana na wanakijiji ili kumsaidia Nzomo kukuza talanta yake.
Baada ya khadija kukutana na wanakijiji, sasa anamsaidia Nzomo kukuza talanta yake. Je ni vipi tunaweza kukuza talanta?
The podcast currently has 17 episodes available.