Baada ya fujo Nyumbani kwake, Mama Nzomo anawajulisha wanawake wenzake kisimani kuwa mwanawe Nzomo amekimbilia katika kambi ya Wahuni. Mama Halima naye anaota ndoto ya ajabu. Je Mama Nzomo atapata usaidizi kutoka kwa wanawake wenzake? Na Je ni ndoto gani hii ya ajabu?