
Sign up to save your podcasts
Or


Baada ya kufurushwa na mumewe mama Halima anampata mwanawe kwa babu yake, Babu Athumani. Babu Athumani anaambatana na Mwanawe Halima na kurudi Nyumbani alipo Baba Halima. Je itakuwaje ikifahamika kuwa Baba Halima alimtuma mkewe nje usiku kumtafuta Halima?
By SFCGKENYABaada ya kufurushwa na mumewe mama Halima anampata mwanawe kwa babu yake, Babu Athumani. Babu Athumani anaambatana na Mwanawe Halima na kurudi Nyumbani alipo Baba Halima. Je itakuwaje ikifahamika kuwa Baba Halima alimtuma mkewe nje usiku kumtafuta Halima?