
Sign up to save your podcasts
Or


Baada ya kupata ushauri wa jinsi ya kushirikiana katika ulezi na mkewe, leo Baba Halima anamtembelea Babu Athumani kwake nyumbani kumjulia hali lakini ugeni wake unasitishwa ghafla na vita kati ya Nzomo na mamake mzazi. Kulikoni katika kijiji cha JBB?
By SFCGKENYABaada ya kupata ushauri wa jinsi ya kushirikiana katika ulezi na mkewe, leo Baba Halima anamtembelea Babu Athumani kwake nyumbani kumjulia hali lakini ugeni wake unasitishwa ghafla na vita kati ya Nzomo na mamake mzazi. Kulikoni katika kijiji cha JBB?