Katika kipindi cha karibuni, kumekuwa na kampeni za uhakiki wa laini na namba za simu ili kuthibiti uhalifu unaofanyika kwa kutumia namba hizo mtandaoni. Je, lengo limefikiwa? Na haya ni maoni ya wananchi kuhusu usajili wa laini za simu na namba zake.