Sign up to save your podcasts
Or
Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Stephen Chacha, Stephen ni Android na Machine Learning Developer kutoka nchini Kenya. Nilifanya majadiliano nae kuhusu Jetpack Compose kama UI toolkit kwenye Android.
Tumejadili mambo kadhaa kwa kuanza na Jetpack Compose ni nini, urahisi unaoletwa na Jetpack Compose katika kutengeneza app yako, na je inafanya kazi na Java na ninaweza itumia sasa kwenye production apps?
5
22 ratings