Je, unajua kwamba Yesu anarudi hivi karibuni!?
Anarudi kuwachukua wale wanaotazamia ujio wake na waliontayari! Vipi wewe upo tayari!?
Kama upo tayari, vipi wengine kwenye ulimwengu wako!?
Je, wana taarifa hizi!?
Tembelea Rhapsody.tv kupata Habari kemkem za namna ya kuwaanda wengine kwa ajili ya ujio wa mara ya pili wa Bwana Yesu.