Tam na rafiki yake Ayaka wamekuja kwenye Jengo la Serikali ya Jiji la Tokyo, ambalo hutembelewa na watu ili kuangalia mandhari ya jiji kutokea juu. Wanakutana na Mi Ya.
Ni siku ya kwanza ya Tam kwenda katika chuo kikuu chake. Yupo kwenye kituo cha treni, lakini hana uhakika kama treni hiyo anayotaka kupanda ndiyo sahihi.
About Jifunze Kijapani: Masomo ya mazungumzo | NHK WORLD-JAPAN
From the publisher's feed
Jifunze misemo muhimu na kupata ufahamu wa kitamaduni kwa kusikiliza simulizi ya Tam, mwanafunzi wa kimataifa aliyesajiliwa katika chuo kikuu kimoja cha Japani. Shirika la umma la Japani, NHK, linatoa…
kozi hii ya lugha ya Kijapani kupitia podcast, bila malipo. nhk.jp/lesson
More shows like Jifunze Kijapani: Masomo ya mazungumzo | NHK WORLD-JAPAN