Usemi wa msingi: Ndoto yangu ni kuwa mwalimu wa lugha ya Kijapani. / ___ NI NARIMASU / Namna ya kubadilisha vitenzi na kuwa nomino / Tanakali Sauti: Bila matatizo
Usemi wa msingi: Baada ya kula vitamutamu vya Kijapani, unakunywa chai ya kijani. / ___ KAMOSHIREMASEN / Umbo la TE la kitenzi + KARA / Tanakali Sauti: Kufa ganzi
Usemi wa msingi: Nafikiri una homa. / Dalili / Nafikiri kwamba / Tanakali Sauti: Kukohoa
10 min
About Jifunze Kijapani: Masomo ya sarufi | NHK WORLD-JAPAN
From the publisher's feed
This podcast will expire on 2023/1/15(JST). Thank you for listening. For more resources, visit our Easy Japanese website: nhk.jp/lesson. Unaweza kuanza kujifunza kwa urahisi sarufi ya msingi na…
misamiati kwa kusikiliza simulizi za Anna, anayejifunza Kijapani katika chuo kikuu kimoja jijini Tokyo. Shirika pekee la utangazaji la umma nchini Japani NHK, hutoa bure mafunzo haya yanayoaminika kwa huduma ya podcast. nhk.jp/lesson