Jinsi janga sugu la corona lilivyo katiza ndoto za wengi za mwaka wa 2020
Wakenya walikuwa na mategemeo chungu nzima ya mwaka wa 2020.lakini Lo! Maradhi ya covid ya kabisha hodi na bila hata kungojea kukaribishwa. Yakajibwaga nchini na duniani na kuanza kutesa binadamu hadi waeleo.