Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
This podcast is about feature stories, local reports, highliting challenges facing the community and how to best to solve those challenges and carry out research and education interviews.... more
FAQs about Alice Njeri Muthoni:How many episodes does Alice Njeri Muthoni have?The podcast currently has 8 episodes available.
May 09, 2021Makala kuhusu siku ya mzazi mama dunianiSiku ya kumkumbuka mzazi mama huidhinishwa kila jumapili ya kwanza mwezi wa tano ambayo ni Leo. AKina mama hoiyeee!!!...more4minPlay
March 08, 2021Makala kuhusu siku ya wanawake DunianiSiku ya wanawake kote duniani huadhimishwa tarehe 8 mwezi wa tatu kila mwaka. Yafuatato ni makala maalum kuhusu siku hii...more12minPlay
February 13, 2021Makala kuhusu siku ya radio dunianiKawaida, siku ya radio duniani huadhimishwa kila tarehe 13 februari ya kila mwaka. Mwaka huu haujaachwa nyuma kauli mbiu ikiwa ULIMWENGU MPYA, RADIO MPYA...more6minPlay
December 23, 2020Umekuwa ukiziimba tangu utotoni nyimbo za krisimasi. Lakini je, unajua nani aliziimba na maana yakeJe, ni nini maana ya nyimbo ambazo huimbwa msimu wa krisimasi na asili ya nyimbo hizi ni ipi?? Kwa Mengi zaidi,skiza makala yafuatayo....more5minPlay
December 14, 2020Jinsi ripoti ya katiba patanifu ya kitaifa BBI ilivyokuja kuundwaBaada ya ghasia za baada ya uchaguzi,nchi ya Kenya ilichafuka sana. Chuki, vifo nakadhalika. Ili kuondoa mambo haya. Rais Uhuru na Raila odinga wakaonelea waje na salamu Za heri maarufu handshake na papo hapo mtoto BBI akazaliwa...more6minPlay
December 03, 2020Siku ya walemavu duniani kawaida huwa ni tarehe 3 kila disemba.yafuatayo ni makala maalum ya viljemaPengine ushawahi patana na mlemavu na ukamdharau na labda pengine ukambeza!!! Lakini unalopaswa kujua ni kuwa eti, "Kilema ni binadamu " na wana haki Sawa na binadamu yeyote Yule....more4minPlay
November 29, 2020Jinsi janga sugu la corona lilivyo katiza ndoto za wengi za mwaka wa 2020Wakenya walikuwa na mategemeo chungu nzima ya mwaka wa 2020.lakini Lo! Maradhi ya covid ya kabisha hodi na bila hata kungojea kukaribishwa. Yakajibwaga nchini na duniani na kuanza kutesa binadamu hadi waeleo....more6minPlay
FAQs about Alice Njeri Muthoni:How many episodes does Alice Njeri Muthoni have?The podcast currently has 8 episodes available.