Siku ya walemavu duniani kawaida huwa ni tarehe 3 kila disemba.yafuatayo ni makala maalum ya viljema
Pengine ushawahi patana na mlemavu na ukamdharau na labda pengine ukambeza!!! Lakini unalopaswa kujua ni kuwa eti, "Kilema ni binadamu " na wana haki Sawa na binadamu yeyote Yule.