Sign up to save your podcasts
Or

Detachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu,
Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako.Kwenye episode hii tunazungumzia hilo kwa undani zaidi.
Kama umechoka ku-attach mpaka kuumia, ku-heal kila siku
episode hii ni kwa ajili yako.
By Hefsiba NzaliDetachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu,
Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako.Kwenye episode hii tunazungumzia hilo kwa undani zaidi.
Kama umechoka ku-attach mpaka kuumia, ku-heal kila siku
episode hii ni kwa ajili yako.