Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.
Download on the App Store

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk. episodes

  • Jinsi ya kujifanyia kazi/Innerwork

    Kujitambua na kujiponya ni vitu viwili tofauti. Self awareness isn’t Healing. you need both.

    Nimezungumzia nini maana halisi ya kujifanyia kazi na utaanzia wapi na nini cha kufanya kuanza inner work.

    kupata access ya Feminine reset program tuma neno ''RESET'' kwenda +255765669577 whatsApp.

    1 hr 4 min
  • Avoidant & Anxious attachment issues pt2

    Men are not the problem, Dating Pool isn’t shitty either , you’re not intimidating, nobody is scared of you ...kubaki single isn’t a good option either ..Kama umeshajifanyia kazi ila haupati outcomes unazohitaji YOU ARE THE PROBLEM ,attachment issue can hidden like confident or ego too.. hii ep ni kwa ajili yako.

    1 hr 12 min
  • Avoidant & anxious attachment issues, pt1.

    Sambamba na ego kuwa chanzo kikubwa cha kukufanya ushindwe kufurahia maisha na mahusiano pia kuna hizi attachment issue ambazo ni chanzo kingine kikubwa cha wewe kuwa mtumwa wa wengine bila hata kujua.... hii ni pt1.

    25 min
  • Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia.

    Detachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu,

    Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako.Kwenye episode hii tunazungumzia hilo kwa undani zaidi.

    Kama umechoka ku-attach mpaka kuumia, ku-heal kila siku

    episode hii ni kwa ajili yako.

    26 min
  • Jinsi ya kuwa Self Obsessed

    Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby,

    sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana.

    Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine.

    Utajifunza 

    –Maana halisi ya kuwa self-obsessed kama mwanamke

    – Namna ya kuanza kujichagua bila kujisikia hatia

    – Kwa nini kujipenda kuanzia ndani kunabadilisha mahusiano, pesa, na maisha kwa ujumla


    Kama umewahi kujisahau ili upendwe au ukubalike

    episode hii ni kwa ajili yako.

    17 min
  • Vitu ambavyo hatuvifanyi in 2026!

    Kwenye hii episode tunazungumzia vitu muhimu sana kuzingatia kwenye huu Mwaka na vitu vya kuachana navyo ili kuwa na the best 2026! kwenye sector zote na lifestyle kwa ujumla, i really want you to not just listen but get into it by doing action starting today.

    19 min
  • Unatambua thamani yako?

    Karibu kwenye The Feminine Frequency , mahali ambapo wanawake wanarudi home kwenye mioyo yao, kwenye feminine energy yao, na kwenye thamani yao halisi. Leo kwenye hii ep ya kwanza nataka kukuuliza swali moja tu… Do you really know your worth? Ama umeishi kwenye survival mode kwa muda mrefu mpaka hujijui tena?

    Hapa utasikia version yangu ambayo hujawahi kusikia Instagram, tiktok au YT.More soft. More deep. More real.

    This is your new safe space, baby girl. Welcome home.

    6 min

About Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.

From the publisher's feed

Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine Frequency,

Sehemu sahihi kwa mwanamke kujitambua na kuishi ndani ya nguvu yake ya kike bila uwoga, ku-level up sectors zote ili Kupata unachotaka bila…