Sign up to save your podcasts
Or
Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Jonathan Kayumbo yeye ni DevOps and Infrastructure Engineer nchini Sweden, nilitaka kufahanu kuhusu DevOps, ina faida gani, vipi tunaweza itumia hapa Bongo na vipi kuhusu tools zinazohitajika.
Jonathan amesoma Tanzania na kuweza kwenda kufanya kazi nchini Sweden, anafanya kazi kama DevOps and Infrastructure Engineer kwenye moja ya kampuni kubwa kule Sweden. Ametueleza namna alivyopambana kuendana na utendaji wa kazi na kuadopt best practices za Software Development.
5
22 ratings