Amedeus Live Podcast

Jua kile Ulichonacho ndani Yako


Listen Later

Kuza tabia ya Mungu iliyo ndani ya roho yako kwa kupitia ufahamu na utambuzi wa sifa na tabia za Kiungu na asili yake iliyoko ndani yako.
Soma waraka wa Filemoni 1:6 katika matoleo mbalimbali ya biblia upate kuelewa jinsi utambuzi wa vile ulivyonavyo ndani yako katika Kristo Yesu vinavyoweza kuinua maisha yako katika viwango vya juu sana.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael