Ndani ya Episode hii tutazungumza juu ya dhana ya kuuza Tanzania. Tumezungumza zaidi kwa motivational speakers na trainers. Episode zitakazo fuata tutazungumzia section mbali mbali.
Ndani ya Episode hii, mkurugenzi mtendaji wa Kipaji App ametoa maelezo kwa ufupi juu ya kile kilicho fanya aunde jukwaa hili la kuuzia huduma, sikiliza kisha uliza maswali pale ambapo hujaelewa katika Episode hii ya kwanza.
About JUKWAA LA KUUZA FILAMU, MUZIKI, HADITHI, VITABU,MAKALA, MAFUNZO N.K
From the publisher's feed
Karibu katika jukwaa la wajasiriamali ambalo linakuwezesha wewe kama creator kuuza huduma yako kwa wafuasi wako walio tapakaa katika nchi nzima kwa urahisi na kuweza kujiingizia kipato cha kudumu na…
cha kila mwezi. Iwe ni filamu, vichekesho, simulizi, masomo ya kidato cha kwanza hadi cha sita, vitabu(e-books), muziki, mafunzo mbali mbali ya kitaluma(proffesional trainings) n.k hapa ndo nyumbani kwako.