
Sign up to save your podcasts
Or


Matumizi ya Pombe yanaelezwa kuwa na Athari tofauti tofauti na Wataalam wa kiafya. Sasa hapa tunazama deep! na WAtumiaji pamoja na Wataalam. Karibu Kambini.
Kambini ni sehemu tunakutana Kuzungumza mada tofauti tofauti Zinazohusu masuala ya kijamii na Burudani,kikubwa kukufahamisha na Kukuhabarisha. Karibu Kambini tuweke KAMBI.
From the publisher's feed
Mazungumzo na matukio ya kijamii na Burudani yenye lengo la Kukuhabarisha na kukufahamisha mambo mbalimbali.