Usiruhuru Harisa wala Vurugu zikutawale. Wewe ni mwenye haki wa Mungu ndani ya Kristo Yesu.... hii ndio asili yako. Sikiliza kweli hii kutoka katika Rhapsodi ya Uhakika Teevo, kitabu mahususi kwa ajili ya Teenegers, kinachoandikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome.
Wasiliana nasi kwa namba hizi kupata nakala yako: 0736000999.
Changia uchapishaji na Usambazaji wa TeeVo mashuleni kupitia lipa namba hii ya Vodacom: 8177098.