Mitandao ya Kijamii imekuwa inashika nafasi kubwa sana kwa vijana wengi na kuna mengi ambayo yanaweza kuzungumziwa na mtu akasikiliza na kujifunza mengi. Mada ya leo imejaribu kuchunguza mengi na kutazama kwa upana mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii.
Usikose kufuatilia Episodes zangu mbalimbali ambapo najaribu kugusiana mambo yanayogusa vijana wa Kiswahili. Popote pale duniani endelea kufuatilia na usisahau ku-subscribe channel yangu.
Asante sana na Halla at yaaaa'll. Bless!