Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
This is my very interesting podcast Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.... more
FAQs about Koma podcast:How many episodes does Koma podcast have?The podcast currently has 5 episodes available.
July 03, 2025Gen-Z na Lifestyle yaoMalezi ndani ya familia zetu siku hizi yako vipi? Nani anatakiwa kuchungwa zaidi—mtoto wa kiume au wa kike ? Hasa hawa watoto wa 2000 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more20minPlay
July 03, 2025Beki Tatu na Changamoto zakeJe, unaweza kumuacha mumeo kisa dada wa kazi ? Mume wako ni sawa kupikiwa chakula na dada wa kazi ?Na uchawi nao upo au ni kisingizio tu ? Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more32minPlay
July 03, 2025Vikwazo na MafanikioKwenye hii episode yetu ya KOMA Podcast, Tumekutana na Nanga pamoja na Tiko, tukachambua ukweli wa maisha: ile hali ya kuwa ya mafanikio au kutoboa na mategemeo ya watu kwako katika jamii yetu pamoja na matokeo yanayokuja pale unapochagua kujipa kipaumbele. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more20minPlay
July 03, 2025MAISHA, UBABE & MITIKASI YA SOUTH AFRIKA - PAUL KONYAKIKatika episode hii, Paul konyaki akisimulia safari yake, mitikasi na maisha ya South AfricaUsikose kusikiliza hii story ya ukweli—ya hisia, mafunzo, na maisha ya kweli. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more29minPlay
June 30, 2025Umri na NdoaKuna kigezo chochote Cha kutizama kabla ya Kuoa au Kuolewa? Je, Kuoa au kuolewa ukiwa na Umri mkubwa kuna athari zozote ??Kwako mwana KOMA..Mjadala huu ni mzito na haupaswi kukupita! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more21minPlay
FAQs about Koma podcast:How many episodes does Koma podcast have?The podcast currently has 5 episodes available.