Teknokona - Kona ya Teknolojia

Kona ya Teknolojia - S01E02 - Mokiwa & Eric, Mada: Twitter sasa ni X, iOS 17, Apple vs UK, Samsung na simu za Foldable


Listen Later

Katika episode namba mbili kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusu

  • Mabadiliko ya Twitter kuwa X, mipango ya Elon Musk na X.
  • Kizuri katika toleo la iOS 17 linalokuja hivi karibuni kwa watumiaji wa iPhone, iPad
  • Apple vs UK - Changamoto ambazo kampuni ya Apple wanazipitia nchini Uingereza zinazohusisha masuala ya kusalama na malipo kwa watengenezaji apps
  • Tukio la Samsung na ujio wa toleo jipya la simu za mkunjo

  • Usisahau kuungana nasi kupitia:

    www.twitter.com/teknokona

    www.instagram.com/teknokona

    www.facebook.com/teknokona

    www.instagram.com/techmsaada


    www.teknolojia.co.tz - Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili.

    www.techmsaada.com - Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.

    ...more
    View all episodesView all episodes
    Download on the App Store

    Teknokona - Kona ya TeknolojiaBy TeknoKona - Kona ya Teknolojia