Katika episode namba mbili kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusu
Mabadiliko ya Twitter kuwa X, mipango ya Elon Musk na X.
Kizuri katika toleo la iOS 17 linalokuja hivi karibuni kwa watumiaji wa iPhone, iPad
Apple vs UK - Changamoto ambazo kampuni ya Apple wanazipitia nchini Uingereza zinazohusisha masuala ya kusalama na malipo kwa watengenezaji apps
Tukio la Samsung na ujio wa toleo jipya la simu za mkunjoUsisahau kuungana nasi kupitia:
www.twitter.com/teknokona
www.instagram.com/teknokona
www.facebook.com/teknokona
www.instagram.com/techmsaada
www.teknolojia.co.tz - Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili.
www.techmsaada.com - Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.