
Sign up to save your podcasts
Or


Kutii ni ufunguo wa kufungua nguvu za Mungu na furaha katika maisha yako. Gundua umuhimu wa kukuza nidhamu hii itokayo kwa Mungu.
Kupona huanza na kuamini tuna thamani kubwa kwa sababu Yesu alikufa kwa ajili yetu.
Joyce anafunza jinsi kujua utambulisho wetu wa kweli katika Kristo kunaweza kushinda tabia za uraibu.
Mungu anataka kutufanyia mengi kuliko kutuzuia kuenda kuzimu. Anataka tuishi maisha yanayotimiza upendo na huduma ndani yake.
Joyce anashiriki jinsi Mungu alivyomruhusu kusonga mbele ya maisha yake ya uchungu ya hapo awali na kuingia kwenye ushindi uliotolewa kupitia Yesu Kristo.
Kwa kumruhusu Mungu aingilie kati na kukusaidia kukuokoa kutoka kwa tabia zako mbaya, anaweza pia kukusaidia kukuza na kupalilia tabia zako nzuri.
Hakuna haja ya kuwa na huzuni wakati unasubiri kujenga uzoefu wa tabia mpya. Tafuta jinsi ya kufurahiya safari yako.
Kuunda au kuvunja tabia huchukua muda, usivunjike moyo ikiwa huna ushindi wa haraka katika eneo fulani.
Tabia huundwa na nidhamu, au ukosefu wake. Utu huundwa na kile tunachofanya mara kwa mara. Ni kile wengine hutarajia kutoka kwetu.
From the publisher's feed