Amedeus Live Podcast

Kuinuliwa Kwako


Listen Later

Kupandishwa cheo, hadhi au nyadhifa hakutoki mashariki, au magharibi au kusini, Bali vyatoka kwa Mungu, ambaye kupitia neno lake ametuonyesha namna tunaweza kusabibisha au kuchochea jambo hilo kutokea!
Soma mistari maandiko haya na uyatafakari vizuri kabisa:
Zaburi 3:3,
Zaburi 146:8,
Zaburi 27:6
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael