Amedeus Live Podcast

Kuishi katika Jina lake Lisiloshindwa


Listen Later

Je unajua jina la Yesu ni nyenzo, unayopaswa kuitumia kila siku!?
Je, unajua Jina la Yesu ni Ngome na Mnara imara, ambapo kila anayekimbilia hapo anakua salama.
Jifunze namna ya kuishi kwa Jina La Yesu kwa kufanya yafuatayo:
1. Tambua uzima wa Mungu uliopo ndani yako.
2. Kataa hofu isiwe na utawala tena dhihi Yako.
3. Kiri neno la Mungu juu Yako na juu ya kila hali za maisha.
Fahamu ubora na ukuu wan Jina Yesu ili uweze kulitumia ipasavyo.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael