Amedeus Live Podcast

Kuna Taji Inayongojea


Listen Later

Kazi yako ya upendo kwa ajili ya Bwana Yesu na injili yake na kanisa lake hapa duniani sio ubatili, inathamani kubwa kwa Mungu na utapata Taji ya Haki, yenye thamani kuu kama tuu hautazimia wala kukata tamaa!
Hii ni rhapsodi ya Uhakika toleo la watu wazima, Januari 16, 2024.
Tafakari nini utafanya mwaka huu kulinda na kutunza Taji Yako.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael