Amedeus Live Podcast

Kuzaliwa mara ya Pili - TeeVo


Listen Later

Isipokuwa umezaliwa mara ya pili hauwezi kuona wala kuingia katika Ufalme wa Mbinguni...
Maisha ni jambo la Kiroho, kilichozaliwa kwa Roho ni Roho na kilichozaliwa kwa mwili ni mwili.
Fanya sala ya wokovu mara tuu ya Episode hii na uzaliwe mara ya pili leo hii.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael