Rais wa Marekani Joe Biden anawasihi wamarekani wazingatie urithi aliouacha Dr.King mtu aliyeangaza nuru wakati wa kipindi cha giza na kupelekea njia ya usawa, haki na amani kwa jamii.
Meza ya waandishi yazungumzia habari zilizotamba wiki hii katika eneo zima la Afrika mashariki ambapo huko nchini Kenya ugonjwa wa kisonono usiotibika wasambaa na kuleta hofu miongoni mwa wakazi .
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

Waandishi wa VOA wamulika taarifa zilizojiri wiki hii ambapo wapokea waeleza hisia tofauti ziliztokana na uchaguzi wa Spika Marekani wakigusia kuwa bado kunahitajika mabadiliko katika maeneo yao hasa uwazi katika upigaji kura bungeni.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
30 min
About Kwa Undani - Voice of America
From the publisher's feed