Dr William Rutto ameapishwa kuwa rais wa tano wa Kenya, akichukuwa uongozi kutoka kwa Uhuru Kenyatta.
Toka kifo cha Malkia wa Uingereza Elizabeth II, kumekuwa na mijadala na hoja mgongano juu ya nafasi ya malkia na ufalme wa Uingereza kwa bara la Afrika.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

Ghasia zinaendelea katika kisiwa cha Comoros cha Nzwani kutokana na ukosefu wa mchele na kupanda kwa bei za vyakula. Serikali ya ahidhi kuagizia mchele zaidi kwa haraka. Na mashirika ya ndege ya Afrika Mashariki yanakumbwa na hasara kubwa za biashara
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Waandishi Khalifa Said, Christine Ojiambo na John Kibego wajadili kesi ya uchaguzi Kenya, mgogoro wa tozo Tanzania, na mkutano wa mawaziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda na Uganda.
Wachumi na wataalam wa mifumo ya kisiasa wanaangazia masuala ambayo yameendelea kuwa changamoto kwa mstakabal wa kiuchumi na kisiasa kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na jinsi zinavyoweza kutatuliwa.
Baada ya serikali ya Kenya kutangaza kwamba wenye magari ni sharti wapate na kuweka vibandiko vipya vya kidijitali kwenye magari yao, maoni mseto yanaendelea kutolewa huku baadhi wakisema hatua hiyo haina umuhimu wowote huku nayo serikali ikitetea mpango huo kama njia ya kuzuia au kudhibiti uhalifu.
30 min
About Kwa Undani - Voice of America
From the publisher's feed