Yesaya Software Podcast

Lambert Katueleza Umuhimu wa Kanzi Data (Database)


Listen Later

Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Lambert Almasi, Lambert ni mtalaam wa kanzi data yaani database. Ninafahamu msingi wa mfumo wowote uko kwenye kanzi data. Mazungumzo yangu ya Lumbert yalijikita katika kuchanganua kwa kina umuhimu wa kanzi data na shughuli ambayo msimamizi wa kanzi data au Database Administrator anapaswa kufanya.

Kwenye mazungumzo yetu. nilitambua dhamani kubwa waliyonayo hawa wasimamizi wa kanzi data ikanilazimu kudadisi zaidi kwa Lambert kuhusu faragha au privacy ya taarifa kwenye kanzi data, nina imani ujifunza sana.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Yesaya Software PodcastBy Yesaya R. Athuman

  • 5
  • 5
  • 5
  • 5
  • 5

5

2 ratings